Magufuli has begun work on the standard gauge railroad.
- Humphrey Makussa
- Apr 12, 2017
- 2 min read
Updated: Jan 27, 2023
Hon. John Pombe Magufuli, the Fifth President of the United Republic of Tanzania, has officially launched the construction of a standard gauge railway. The launch took place on April 12th, 2017 at Pugu Station, and thousands of Dar es Salaam residents and their suburbs witnessed the event.
The construction of a 1.43-meter railway, different from the existing 1-meter railway from Dar to Kigoma, will be able to carry over 17 million tons a year, contrary to the current 5 million tons. This railway will open up doors for business within and outside the country and will act as a catalyst for development and national economic sustainability as we head towards an industrial development economy.
President Magufuli has said that the railroad construction is partly fulfilling his promises made in the CCM manifesto during his presidential campaign. The first phase of construction is expected to cover 160.5 kilometers, which is from Dar es Salaam to Morogoro; only one hour will be needed to reach the destination; thereafter, the next phase of construction will continue to Dodoma and then Tabora and therefore connect Tanzania to the lake zone areas.e neghboring country Rwanda.
Rais Magufuli Azindua Ujenzi wa Reli ya Kisasa
Raisi wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amezindua rasmi ujenzi wa Reli ya kisasa katika viwango vya kimataifa (Standard Gauge). Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 12 Aprili 2017 eneo la Pugu Stesheni na kushuhudiwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake.
Ujenzi wa reli hii yenye upana wa mita 1.43 tofauti na upana wa reli ya sasa kutoka Dar hadi Kigoma yenye upana wa mita 1, itakuwa na uwezo wa kusafirisha zaidi ya tani milioni 17 kwa mwaka tofauti na tani milioni tano za hivi sasa. Ujenzi huu utasaidia kufungua milango ya biashara ndani na nje ya tanzania na hivyo kuwa mgongo wa kukuza na kuendeleza uchumi wa taifa hasa tunapoelekea katika uchumi wa kukuza viwanda.
Raisi Magufuli amesema kuwa, ujenzi wa reli hii ni moja ya kutimiza ahadi alizotoa kupitia ilani ya chama cha mapinduzi katika kampeni zake za uraisi, hivyo awamu ya kwanza ya ujenzi huo inatarajiwa kuchukua urefu wa kilometa 160.5 ikiwa ni kutoka Dar hadi Morogoro amabapo ni muda wa saa moja tu utatumika kwa safari, na baadae kuendelea hadi Dodoma na Tabora kisha kuunganisha Tanzania na nchi ya jirani ya Rwanda.












