top of page
Search

The Influence of "Hapa Kazi Tu" on Dar City

  • Writer: Humphrey Makussa
    Humphrey Makussa
  • Apr 3, 2017
  • 2 min read

Updated: Jan 27, 2023

A few days after the inauguration, the head of Dar es Salaam, Paul Makonda, came up with several strategies focusing on changing Dar es Salaam City. Among the strategies were cleanliness, government offices with no parties, allocating business areas, and door-to-door censuses. He also promises to ensure the safety of citizens and their property, restore the dignity of local government executives, and maintain roads and education.

To make the city clean, Makonda initiated a campaign for a competitive local best for cleanliness, promising to give gifts such as cars, 20 million shillings in cash, and 5 million Tsh to each member of the district concerned.

A new Dar city has recently emerged. The "Hapa kazi tu" campaign introduced by the fifth government, which was complemented by RC Paul Makonda's cleanliness campaign, has positively impacted the current look of Dar es Salaam, where the streets are neat and clean. The new Dar City today gives a lesson that everything is possible; what is needed is daring and hard work from those with authority to supervise implementation.

Matokeo ya "Hapa Kazi Tu" kwa Jiji la Dar

Siku chache baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda kuapishwa, alikuja na mikakati kadhaa ili kulibadili jiji la Dar es Salaam. Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na Usafi wa jiji, Kusitisha sherehe za viongozi wa serikali, kutenga sehemu za biashara ndogondogo pamoja na kufanya Sensa kwa kila nyumba. Aliahidi pia kuhakikisha usalama wa raia na mali zao, kuondoa wafanyakazi hewa, kurudisha heshima ya watendaji wa serikali za mitaa, kuboresha mazingira ya elimu na barabara.

Ili kuweka jiji safi Mh. Makonda alianzisha kampeni maalum ya kushindanisha serikali za mitaa katika swala la usafi na kuahidi kutoa zawadi kama gari, fedha taslim shilingi milion ishirini kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa ambaye mtaa wake utafanya vizuri katika usafi, hii ni pamoja na kutoa zawadi ya shilingi milioni tano taslim kwa kila mwanachama wa wilaya husika.

Hivi sasa Dar mpya imezaliwa, Kampeni ya "Hapa kazi tu" iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano na kuchagizwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makunda katika kampeni yake ya usafi, imekuwa na matokeo chanya katika muonekano wa jiji la Dar es Salaam hivi sasa ambapo mitaa ni misafi na yenye muonekano mzuri. Dar mpya ya leo inatupa somo kuwa, kila kitu kinawezekana kukiwepo uthubutu na kufanya kazi kwa bidii kwa wote wenye mamlaka ya kusimamia utekelezaji.


 
 
 

Join our mailing list

  • Black MySpace Icon
  • Google+ Social Icon
  • Facebook Social Icon
  • LinkedIn Social Icon
  • Instagram Social Icon
  • Twitter Social Icon
  • YouTube Social  Icon

© 2017 by PSM Productions. Proudly created by P-Skills with Wix.com

bottom of page