Search
Danish Visit to Tanzania
- Humphrey Makussa
- Mar 22, 2017
- 1 min read
Updated: Jan 27, 2023
A delegation from Denmark has shown interest in the WAT-HST project at Mabwepande as one of the affordable housing programs spotted in Tanzania. The delegation is on the tour to seek opportunities for investment and support the building of environmentally friendly and low-cost housing in Tanzania.
Ujumbe wa wawekezaji kutoka Denmark umeonesha kuvutiwa na mradi wa nyumba za bei nafuu wa Mabwepande, miongoni mwa miradi waliotarajia kuitembelea nchini. Ujumbe huo upo katika ziara ya kuangalia fursa za uwekezaji na uwezeshaji wa ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu kwa kutumia tekinolojia rafiki kwa mazingira.







