Search
International Women's Day
- Humphrey Makussa
- Mar 8, 2017
- 1 min read
Updated: Jan 27, 2023
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Mwanaharakati na mkurugenzi mtendaji wa Legal and Human Right Center (LHRC) Dk. Hellen Kijo Bisimba akitoa maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi jana tarehe 8 katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Hafla hiyo iliandaliwa na LHRC kwa ushirikiano na mashirika mengine (NGOs) kama WAT-HST, TAMWA, TAWLA, WILDAF n.k chini ya uwezeshwaji wa Legal Services Facility (LSF)









